Wizara ya Afya yakutanisha Wadau kujadili Rasimu ya Uwekezaji kwa Wanawake Kiuchumi

Pix 5 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya  Maendeleo ya Jamii, kwa kushirikiana na Wadau wa maendeleo ipo katika maandalizi ya Mkutano wa  Jukwaa la Kimataifa la kuhuisha harakati za kizazi chenye usawa (Generation Equality Forum)  utakaofanyika Mwezi June 30 hadi Julai